What's New What's New

Back

CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAFANYABIASHARA WA RWANDA

11 Sep 2019
BRELA
Image

Kaimu Msajili wa Makampuni Bi.Rehema Kitambi na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Leseni Bw. Tawi Kilumile kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) tarehe 10 septemba,2019 wakitoa elimu juu ya kufanya Usajili kwa Njia ya mtandao (ORS) pamoja na jinsi ya kupata Leseni za kufanya Biashara Tanzania kwa wafanyabiashara wa Rwanda waliowekeza nchini Tanzania.