09 May 2019
BRELA
Msemaji MkuuwaSerikali Dkt. Hassan Abbasi ameshauri kuwe na mikakati ya kuhakikisha kazi za Wakalawa Usajili wa Biasharana Leseni zinajulikana kwa wadau wa sekta ya Viwanda na Biashara mapema leo septemba 4, 2019 jijini Dar es salaam katika Ofisi za Brela.