News News

Back

MFUMO WA USAJILI WA LESENI MTANDAONI WASHIKA KASI

10 Sep 2019
BRELA
Image

Mfumo wa Usajili wa Leseni Mtandaoni washika kasi, Team ya Watumishi kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Wizara ya Viwanda na Biashara na Tamisemi wakitoa Elimu Juu ya Utoaji wa Leseni kwa Njia ya Mtandao kwa baadhi ya Watumishi kutoka Halmashauri ya Chalinze na Manispaa ya Bukoba tarehe 9.9.2019 ambazo ni miongoni mwa Halmashauri sita (6) zilizochagulliwa na Serikali kufanyiwa majaribio kabla ya mfumo haujaanza kutoa huduma nchini.