TANZANIA EXPORTS SISAL FIBER WORTH 41BN/-

13 Nov 2019 Robertha Makinda
Tanzania has a exported a total of 10,624.62 tonnes of sisal fiber,which is worth over 41bn/-(18.3m US dollar) in a period of nine months. According to the statistics from Tanzania Sisal Board (TSB),Amboni Plantations limited (APL) and Mohammed Enterprises Limited (MeTL) contributed 73 percent of all exported sisal fiber. more details ...

BRELA,TANTRADE ZAKUTANISHA WATENDAJI WAKE NA KUTOA MAFUNZO YA MFUMO WA BIASHARA KIMTAIFA

22 Oct 2019 Robertha Makinda
Kaimu Afisa Mtendaji Bw.Emmanuel Kakwezi kutoka Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) akiwa na Mtendaji Mkuu Bw. Edwin Rutageruka kutoka Mmalaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) tarehe 21.10.2019 jijini Dar es Salaam wakutanisha Watendaji wake na kutoa mafunzo ya Mfumo wa Biashara Kimataifa. more details ...

MACHAPISHO NA MAJARADA YA MILIKI UBUNIFU DUNIANI

19 Oct 2019 Robertha Makinda
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu Bw.Emmanuel Kakwezi akikabidhi machapisho na majarada ya Miliki Ubunifu kwa Vice Chancellor Prof.William-Andey Lazaro Anangisye yaliyotolewa na Shirika la Miliki Ubunifu Duniani(World Intellectual Property)-WIPO kupitia WIPO Academy kwa ajili ya matumizi ya Walimu na Wanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam. more details ...
More News
More Events
Back

SIMIYU BUSINESS EXHIBITIONS TO ATTRACT OVER 260 ENTREPRENEURS,46 FINANCIAL INSTITUTIONS

09 Oct 2019
DAILY NEWS
Image

THE National Economic Empowerment Council (NEEC) in collaboration with the Simiyu regional administration are looking forward to conduct business exhibitions week that aims at enabling entrepreneurs to access various financial services.


What color is not part of the Tanzanian Flag
a. Red
80%
b. Green
20%
c. Blue
0%
d. Black
0%
Total Votes: 5