BRELA YAIBUKA MSHINDI WA PILI KATIKA MAONESHO MOROGORO

16 May 2022 Sheila Mfunami

WAKAZI WA MOROGORO WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA

11 May 2022 Robertha Makinda
Afisa Mtendaji Mkuu kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa amewahimiza Wakazi wa Morogoro na maeneo ya jirani kuchangamkia fursa ya uwepo wa taasisi hiyo Katika Mkoa huo. Bw. Nyaisa amebainisha hayo jana Mei 10, 2022 alipofika katika Banda la BRELA kwenye Maonesho ya Tano ya mifuko na programu za uwezeshaji wananchi Kiuchumi. more details ...

TPA SET TO OPEN OFFICE IN UGANDA

11 May 2022 Robertha Makinda
Dar es Salaam. The Tanzania Ports Authority (TPA) will open a new office in Uganda in search of new market opportunities and increase the number of cargo destined for the country through Tanzania’s main gateway. more details ...
More News
More Events
Back

WAKAZI WA MOROGORO WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA

11 May 2022
BRELA
Image

Afisa Mtendaji Mkuu kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa amewahimiza Wakazi wa Morogoro na maeneo ya jirani kuchangamkia fursa ya uwepo wa taasisi hiyo Katika Mkoa huo.

Bw. Nyaisa amebainisha hayo jana Mei 10, 2022 alipofika katika Banda la BRELA kwenye Maonesho ya Tano ya mifuko na programu za uwezeshaji wananchi Kiuchumi.

"Ushiriki wa Wakala katika maonesho haya kunatoa fursa kwa wakazi wa Morogoro na maeneo ya jirani kupata huduma kwa ukaribu, hii ni fursa ya kipekee kwa sababu tofauti na ilivyo kawaida Usajili unakamilika papo kwa papo na mtu anaondoka na cheti chake" amesema Bw. Nyaisa.

Pia alitumia fursa hiyo kuwakabidhi vyeti vya Usajili wadau wa BRELA waliokamilisha sajili zao papo kwa papo na kuwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi katika Banda la BRELA ili kupata elimu ambayo itawasaidia katika kufanya biashara zao.

Kwa Upande wa Mkuu wa Wilaya Bw. Abert Msando ameipongeza BRELA kwa huduma inazozitoa na kuwahimiza wananchi kutumia fursa hiyo muhimu.

 
 


What color is not part of the Tanzanian Flag
a. Red
80%
b. Green
20%
c. Blue
0%
d. Black
0%
Total Votes: 5