News News

News image

TAARIFA KWA UMMA

Kufutwa kwa Makampuni yenye ukomo wa ahadi na yasiyo na Mtaji na yasiyofanya shughuli za kukuza Biashara na Uwekezaji

CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAFANYABIASHARA WA RWANDA

Kaimu Msajili wa Makampuni Bi.Rehema Kitambi na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Leseni Bw. Tawi Kilumile kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) tarehe 10 septemba,2019 wakitoa elimu juu ya kufanya Usajili kwa Njia ya mtandao (ORS) pamoja na jinsi ya kupata Leseni za kufanya Biashara Tanzania kwa wafanyabiashara wa Rwanda waliowekeza nchini Tanzania.

MFUMO WA USAJILI WA LESENI MTANDAONI WASHIKA KASI

Mfumo wa Usajili wa Leseni Mtandaoni washika kasi, Team ya Watumishi kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Wizara ya Viwanda na Biashara na Tamisemi wakitoa Elimu Juu ya Utoaji wa Leseni kwa Njia ya Mtandao kwa baadhi ya Watumishi kutoka Halmashauri ya Chalinze na Manispaa ya Bukoba tarehe 9.9.2019 ambazo ni miongoni mwa Halmashauri sita (6) zilizochagulliwa na Serikali kufanyiwa majaribio kabla ya mfumo haujaanza kutoa huduma nchini

ZIARA YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI

Msemaji MkuuwaSerikali Dkt. Hassan Abbasi ameshauri kuwe na mikakati ya kuhakikisha kazi za Wakalawa Usajili wa Biasharana Leseni zinajulikana kwa wadau wa sekta ya Viwanda na Biashara mapema leo septemba 4, 2019 jijini Dar es salaam katika Ofisi za Brela.

Edible oil imports to continue

THE Minister for Agriculture, Livestock and Fisheries, Mr Mwigulu Nchemba, has said it is too early to ban importation of edible oil, because the country’s crops for producing the oil is not sufficient to meet the needs of factories manufacturing the product.

‘Teachers must stay in work stations’

THE government has called on leaders to refrain from providing assistance to teachers seeking transfers, from their first appointments to teach in rural areas.

More held as sugar saga unfolds

AS more dishonest traders are being nabbed over sugar hoarding, fresh revelations indicate that tens of containers full of the sweetener are ‘covertly disappearing’ from inland container depots.

Failed factories must be restored

THE government has said that investors who acquired industries under the government’s industrial privatisation programme must ensure the industries are operating or hand them back to the government.