News News

News image

CRDB Bank targets bigger pie of the blue economy proceeds in the Spice Islands

CRDB Bank yesterday opened a branch in Wete, Pemba as it seeks to play a role in supporting Zanzibar’s economic growth aspirations, particularly, through the government’s blue economy model. Zanzibar President Hussein Ali Mwinyi graced the branch opening event, which also involved the distribution of over 272 motorcycles and 94 boats to economic undertakings owned by the youth and women groups in the Isles. In February, this year, Zanzibar government and CRDB Bank signed an agreement that will have the latter disbursing Sh81.8 billion to stimulate economic activities in the Isles. The package encompasses Sh60 billion that will be disbursed in form of interest-free loans to income-generating groups in Zanzibar while the remaining Sh21.8 billion will be allocated for improvement of the necessary infrastructure in the Isles that will enable the income-generating groups to conduct their undertakings in modern facilities. CRDB Bank’s managing director Abdulmajid Nsekela said since February, the lender has already disbursed a total of Sh6.7 billion in interest-free loans to entrepreneurs in Zanzibar whereby Sh2.8 billion has gone to Pemba. “I thank the government for entrusting us with the management of its Sh60 billion fund for loaning to SMEs under the blue economy model. This trust is what has led us to expand our branch network to Wete District in North Pemba,” Mr Nsekela said. ADVERTISEMENT The beneficiaries include 6,178 women and 5,628 men. The Wete Branch will offer both traditional and Islamic banking services. The branch opening also saw the bank handing over Sh273.8 million to Shirikani, Umoja ni Nguvu and Mategemeo cooperative societies in the Isles. In his remarks, Dr Mwinyi said the disbursement of the funds was in line with his campaign pledge of lifting lives of the people of Zanzibar through the blue economy model. “We have promised and now we are implementing. As soon as I was sworn in, I asked banks to open more branches in Unguja and Pemba and CRDB Bank has been in the forefront of implementing my wish,” Dr Mwinyi said as he graced the opening CRDB’s Wete Branch in North Pemba along Mtemani Road at Sunda.

WADAU WAHIMIZWA KUTOA ELIMU KUHUSU TAARIFA ZA MMILIKI MANUFAA

Wakala Wa Usajili Wa Biashara na Leseni (BRELA), imetoa wito kwa wadau kutoa elimu kuhusu dhana ya Mmliki Manufa katika kampuni, Ili taarifa hizo zipatikane kwa mujibu wa sheria. Akizungumza katika warsha ya siku mbili kuhusu uhamasishaji wa wadau kutoa taarifa hizo, inayofanyika katika ukumbi wa Chuo Cha Benki Kuu Jijini Mwanza, Kaimu Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Kampuni na Majina ya Biashara, Bw. Meinrad Rweyemamu amesema kuwa taarifa hizo zinapaswa kuwasilishwa kwa mujibu sheria Ili kupata taarifa muhimu na sahihi za mmiliki halali wa kampuni. "Kuna baadhi ya wamiliki wa kampuni wanaonekana katika mfumo Ila katika uhalisia siyo wamiliki halali, hivyo ni vyema taarifa hizi zikawakilishwa kwa Msajili Ili Mmliki Manufaa atambulike, kwani kuna uwezekano mkubwa kwa mmiliki wa kampuni kutotaka kujulikana, hivyo taarifa hizi zitasaidia kumjua Mmiliki Manufaa ni nani katika kampuni," amefafanua Bw. Rweyemamu. Ameongeza kuwa taarifa hizi za Mmiliki Manufaa pia zitawezesha kumfahamu mtoa maamuzi katika kampuni kwa lengo la kupunguza mianya ya utakatishaji fedha na kutambua vyanzo vya fedha vya wamiliki wa kampuni kwa usalama wa Taifa na uchumi kwa Ujumla. “Dhana hii ni nzuri na ni lazima ifahamike kwa wadau na wamiliki wa kampuni, kwani inatoa wigo kwa Serikali kufanya maamuzi sahihi kama kuzuia masuala ya utakatishaji fedha, rushwa, kupanga kodi, pamoja na kuzuia mianya ya ugaidi, Dunia nzima inaelekea huko, nasi hatuna budi kuelekea huko," amefafanua Bw. Rweyemamu. Ameongeza kuwa awali mfumo ulikuwa unapokea taarifa bila kujali kinachofanyika, hivyo suala hili likawa chanzo cha mianya ya rushwa na tishio la kiusalama, ndiyo maana Sheria ya kuzuia utakatishaji fedha ikapitishwa, hivyo kampuni zinatakiwa kuwasilisha taarifa za Wamiliki Manufaa ili ifahamike chanzo cha fedha wanazomiliki. Ameowaomba wadau walioshiriki warsha wakiwemo Mawakili na Wawakilishi wa wamiliki wa kampuni kutoa elimu hii pia kwa wadau wengine Ili dhana hiyo ieleweke kwa wengi. Awali akitoa hutuba ya ufunguzi, Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Bi. Amina Makilagi amewapongeza wadau kujitokeza kwa wingi na kuomba waendelee kutoa ushirikiano kwa BRELA, ili kufanikisha dhana nzima ya urasimishaji biashara nchini. Pia ameongeza kuwa taarifa za Wamiliki Manufaa zinapaswa kuwasilishwa kwa wakati, kwani muda wa uwasilishaji uliongezwa na Serikali hadi Juni 30, 2022, Ili kutoa muda wa kutosha kwa wamiliki wa kampuni kutekeleza takwa hilo la kisheria. Hata hivyo ameitaka BRELA kuendelea kutoa elimu hiyo ili kuwafikia wamiliki wa kampuni wengi zaidi.

BRELA, FCC, SIDO KUIMARISHA USHIRIKIANO

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imesaini makubaliano ya ushirikiano na Tume ya ushindani (FCC), wakati huo huo FCC ikisaini na Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO), yenye lengo la kuboresha mazingira uwekezaji nchini. Akizungumza mara baada ya utiaji saini makubaliano ya ushirikiano huo Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA, Bw. Godfrey Nyaisa amesema BRELA ipo tayari kutoa ushirikiano kwa taasisi hiyo ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa mbalimbali pale zinapohitajika. Bw. Nyaisa amesema kuwa ushirikiano wa taasisi hizo za Serikali ambazo zinawezesha biashara utatoa fursa kwa wawekezaji kupata masoko ya uhakika huku bidhaa zao zikiwa zinatambulika na Mamlaka husika. "Ndugu wanahabari tunaomba muufahamishe Umma wa Watanzania na wawekezaji kuwa utiaji saini huu unalenga kufungua milango zaidi ya uwekezaji ikiwa ni pamoja na kuondoa migongano ya hapa na pale ambayo inaweza kuchelewesha michakato ya urasimishaji wa biashara, hivyo tunafanya haya kuhakikisha wawekezaji wanakamilisha michakato ya ufanyaji Biashara kwa wakati," amefafanua Bw. Nyaisa. Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa FCC, Bw. William Erio amesema yanapotokea malalamiko ya mtu kutumia alama ya biashara ya mwingine FCC huomba taarifa kutoka BRELA kwani ndiyo yenye dhamana ya kusajili majina ya biashara, kampuni na alama za biashara. Wakati huo huo Mkurugenzi Mkuu wa SIDO, Profesa Sylvester Mpanduji amesema SIDO kama mlezi wa viwanda vidogo itahakikisha inatoa ushauri na kuhimiza wadau wanaopata mafunzo kurasimisha biashara zao BRELA, ili kukidhi vigezo katika soko la ndani na nje ya nchi. Utiaji saini makubaliano hayo yamefanyika tarehe 23 Juni, 2022 katika ofisi za FCC, Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa maagizo ya Waziri mwenye dhamana ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara, yanayozitaka Taasisi chini ya Wizara hiyo, kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuvutia wawekezaji na kufanya Tanzania kuendelea kuwa na mazingira mazuri ya uwekezaji.

Brela threatens to revoke registration of 5,000 dormant firms

The Business Registration and Licensing Agency (BRELA) yesterday announced its intention of revoking registration of 5,676 companies, which it claims to be dormant and clean its book of local and international firms operating in Tanzania. The state-run agency said there are some of the dormant companies which have not submitted their either annual returns or financial statement for up to 50 years so far, failing to comply with the legal requirements. Speaking to journalists on Friday, May 27, BRELA chief executive officer Godfrey Nyaisa said the agency would not continue to embrace inactive companies. “There are business names and brands other people would want to use but they cannot do so because such names and brands appear already occupied. This is a big challenge which we want to address,” said Mr. Nyaisa. According to him, the notices will be provided in three phases, the first two phases will be 30 days each, and the third will be 90 days to provide an opportunity for owners to confirm whether their companies are active or not. “Since my appointment into BRELA office, one of the challenges I have faced is the presence of many companies that do not operate or have any commercial activity in the register,” he said. Once the companies are deregistered, they will also lose all the assets, or until the owners of the company gets court approvals to restore the company to the register of companies. “We will advertise these companies in various newspapers and media with the aim of informing the owners about the intention to cancel them and also to inform the public about the intention,” he insisted. Mr. Nyaisa added that some of the reason for the companies to remain dormant includes failure to submit either financial statements or annual returns, lack of business capital, overwhelming conflicts among the owners, and failure to fulfill their intended purposes. He said that the companies will be published in print and multi-media for the owners to know the BRELA intention of deregistering them. On the target for the first and second round of deregistration include some 5,284 companies registered locally and some 392 others registered outside Tanzania. Last year, the government urged all companies to disclose their respective beneficial owners but until January 2022, only 14,026 companies complied with the requirement. The government which extended the deadline for another six months starting January 1, 2022 stated that the turnout was just about 14 percent of its expectations.

MAAFISA BIASHARA WATAKIWA KUTATUA KERO ZA WANANCHI

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mhe. Balozi Dkt. Batilda Buriani amewataka Maafisa biashara kuwa karibu na Wafanyabiashara katika maeneo yao na kuwatatulia changamoto wanazokutana nazo. Dkt. Buriani amebainisha hay oleo tarehe 23 Mei, 2022 akifungua mafunzo ya siku tano ya Maafisa biashara wa Mikoa ya Tabora, Shinyanga, Katavi na Kigoma kwenye ukumbi wa Mkutano katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora. “Mafunzo haya ni chachu kwa Maafisa Biashara na kusambaza elimu kwa Wananchi pia nyenzo ya kupunguza kero mbalimbali na gharama za urasimishaji biashara, suala ambalo Serikali imekuwa ikilipigia kelele kwa nguvu zote” amesema Dkt. Buriani. Aidha amewataka Maafisa hao kufanya kazi kwa vitendo na kuwa Walimu watumishi wengine kwenye vituo vyao vya kazi, ambao hawakupata nafasi ya kuhudhuria mafunzo hayo. Akizungumza juu ya dhumuni la mafunzo hayo, Mkurugenzi wa Leseni kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Andrew Mkapa kwa niaba ya Afisa Mtendaji Bw. Godfrey Nyaisa amesema lengo la kuu la kushiriki katika Mafunzo hayo ni kutoa Elimu ya Sheria ya Leseni za Biashara na hamasa kwa Maafisa Biashara kutimiza majukumu yao kulingana na taratibu zilizobainishwa kwenye Sheria ya Leseni za Biashara. “Dhumuni kuu ni kuwafikia Maafisa Biashara na kuwapa elimu juu sheria za utoaji wa Leseni za Biashara, na kutatua changamoto mbalimbali za sheria hiyo ili kuwapelekea Maafisa Biashara kuweza kutekeleza majukumu yao kwa weledi na ufasaha pindi watelekezapo majukumu yao” amesema Bw. Mkapa. Ameongeza kuwa zoezi hili ni moja ya mkakati wa kuondoa na kupunguza urasimu wa uwepo wa watu wa kati (vishoka) wanaokwamisha taratibu za upatikanaji wa Leseni kwa wafanyabishara. Bw. Mkapa ameeleza kuwa ni muhimu wa Maafisa Biashara kuwa karibu na wananchi, kwa kutoa huduma bora, saidizi na elimishi kwa wafanyabiashara ili kipato chao kikuwe na hatimaye Serikali ipate kodi na uchumi wa nchi uweze kukua na kuimarika. Kwa utafiti ndogo iliyofanyika kuhusu utendaji wa Maafisa Biashara imebainika kuwa Maafisa Biashara wengi wanafanyakazi kama wakusanya mapato hasa sehemu za biashara, vilabuni na kwenye nyumba za kulala wageni badala ya kuwa wasaidizi na washauri kwa wafanyabiashara na wawekezaji. Shughuli za biashara zinapokuwa rasmi, Wafanyabiashara wanakuwa katika nafasi nzuri ya kupata fursa mbalimbali zinazotolewa na Serikali au sekta binafsi kama vile zabuni na mikopo kutoka taasisi za kifedha. Pia, wanatambua mchango wao katika kuchangia kwenye pato la Taifa ambalo hatma yake ndio linaiwezesha Serikali kutoa huduma mbalimbali za kijamii kwa wananchi wote. Mafunzo ya Sheria ya utoaji wa Leseni za Biashara yameanza Mei 23, 2022 na yanatarajia kufikia tamati Mei 27, 2022.

MAAFISA BIASHARA WATAKIWA KUTATUA KERO ZA WANANCHI

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mhe. Balozi Dkt. Batilda Buriani amewataka Maafisa biashara kuwa karibu na Wafanyabiashara katika maeneo yao na kuwatatulia changamoto wanazokutana nazo. Dkt. Buriani amebainisha hay oleo tarehe 23 Mei, 2022 akifungua mafunzo ya siku tano ya Maafisa biashara wa Mikoa ya Tabora, Shinyanga, Katavi na Kigoma kwenye ukumbi wa Mkutano katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora.

GEITA REGION SPENDS 3.1BN/- ON CONSTRUCTING LIVESTOCK AUCTION

GEITA region has spent 3.1bn/- so far to complete the first phase of construction of a modern livestock auction market at Buzilayombo Village in Chato District in the region. The project is being implemented at a total budget of 4.8bn/- by contractors-the National Housing Corporation (NHC) and the Tanzania Building Agency (TBA). That was stated over the weekend by Geita Regional Commissioner, Ms Rosemary Senyamule, on her official visit to the project which was officially launched in 2020. She said out of the total amount, about 900m/- has been provided by the Sixth Government Phase, under President Samia Suluhu Hassan in the current financial year, aimed at developing and completing the project. “This project, once fully completed, will boost more livestock businesses…the project is good and looks interesting, what is needed now is setting up work plans, we have no reason to delay,” she said. “Let’s make sure that we appropriately use this huge and costly government investment, because we no longer want to see people continue running livestock trade in the wrong places,” she insisted. Chato District Livestock and Fisheries Head of Department, Dr Elfas Msenya said the auction is expected to host about 700 to 1000 herds of cattle and 400 to 500 goats per day. “The special auction day will be on Saturday every week and the council will charge 1000/- for a cow, and 500/- for a goat whereas central government levies will be 6000/- per a cow and 1500/- per a goat,” Dr Msenya added. Reached for a comment, a resident of Buzilayombo village, Mr Mbaruku Hamza, acknowledged that the auction is going to open doors for livestock business opportunities for Chato and Geita pastoralists and in turn raise the livelihoods of the people

GEITA REGION SPENDS 3.1BN/- ON CONSTRUCTING LIVESTOCK AUCTION

GEITA region has spent 3.1bn/- so far to complete the first phase of construction of a modern livestock auction market at Buzilayombo Village in Chato District in the region.

BRELA YAIBUKA MSHINDI WA PILI KATIKA MAONESHO MOROGORO

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imeibuka mshindi wa pili kati ya taasisi 15 za Serikali zilizoshiriki kutoa huduma kwenye maonesho ya Tano ya Mifuko ya Programu za Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, mkoani Morogoro. Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa tuzo hiyo ya ushindi wa pili na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), jana tarehe 14 Mei, 2022, Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA, Bw. Godfrey Nyaisa amesema, ushindi huo umetokana na huduma ambazo maafisa wa BRELA wamekuwa wakizitoa kwa wananchi wa Manispaa ya Morogoro wakati wote wa maonesho. Bw. Nyaisa amesema wakati wote wa maonesho wananchi wamefurika kwa wingi katika banda la BRELA kupata elimu na kurasimisha biashara zao huku wengi wakikamilisha usajili wa majina ya biashara na kutoka na cheti cha usajili papo kwa papo. “Lengo kuu la kushiriki Maonesho haya ni kutoa huduma bora na kwa muda mfupi, ili kufanikisha hilo wafanyakazi wote wamekuja na vitendea kazi, hivyo mwananchi akifika banda la BRELA anapata majibu ya maswali yake yote pamoja, ushauri na huduma ya papo kwa papo,” amefafanua Bw. Nyaisa. Bw. Nyaisa amewasihi wafanyabiashara kutumia mfumo wa usajili kwa njia ya mtandao kurasimisha biashara zao kwani huduma hiyo kwa sasa ni rahisi na inamuwezesha muombaji kupata huduma bila kufika katika ofisi za taasisi hiyo. Aidha Bw. Nyaisa amesema kuwa mfumo uliopo sasa wa urasimishaji biashara ni rahisi na rafiki zaidi kwa waombaji wote walio mjini na vijijini, hivyo ni vyema wafanyabiashara kuacha tabia ya kuwatumia "vishoka" kurasimisha biashara zao. “Kwa sasa mfanyabiashara sio lazima kufika kwenye ofisi za zetu, unaweza kupata huduma ukiwa hata sebuleni kwako na ukapata cheti bila ya usumbufu wowote,”amesisitiza Bw. Nyaisa. Taasisi iliyoshinda nafasi ya kwanza katika maonesho hayo yaliyohitimishwa jana ni Shirika la Posta Tanzania, huku Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ikichukua nafasi ya tatu.

AGRICULTURE MINISTRY PLANS TO INVEST IN REPYRETHRUM PRODUCTION

THE Ministry of Agriculture has expressed its zeal to invest heavily to revitalise and boost the production of Pyethrum from the current 2400 tonnes to 5,000 tonnes per year by 2025. Responding to a question from Mbeya Rural MP Oran Njeza, Minister for Agriculture Japhet Hasunga said that through the implementation of the 10- Year Strategic Plan (2011-2021) that targets at strengthening pyrethrum production in southern regions, the government is implementing several measures to ensure that the farmers benefit from the crop. In his basic question, Njeza wanted the government's plan in increasing production as well as boosting the access of the pyrethrum cash crop to the growing demand at the global market. Minister Hasunga said that in a bid to increase production of the crop the government has decided to bring together farmers into forming groups where so far a total of 137 groups of farmers have been formed. "Through formation of these groups farmers have been exposed to knowledge that has led to improvements in the quality of the produced yield which has steadily improved to 1.3 per cent against the international required average standard of 1.24 percent," Hasunga said. According to him, the government has continued to encourage farmers to join the Agriculture Marketing Co-operative Societies (AMCOs) where so far three AMCOs have been registered and other 10 are in the final stages of registration. He asserted that despite all these efforts, the governmnet will also continue to provide education to farmers on the application practices (GAPs) to increase production and improve the quality of market that meets the global market demand. The government will continue to encourage investment especially value addition where there are currently two processing plants in the country, namely Tanextract factory located in Inyala Region and Pyrethrum Company of Tanzania (PCT) factory located in Mafinga, Iringa Region," he said. He however added that the industries are capable of processing between 2800 and 3000 tonnes each per annum. The government will continue to encourage farmers to engage in commercial agriculture through the contract farming system. The government will also continue to conduct domestic and foreign market research using envoys representing Tanzania in ther respective countries to ensure that the country wins access to the global pyrethrum market," he added.

TPB, TIB ZAUNGANISHWA

SERIKALI imezinganisha Benki ya TPB na TIB Corporate Ltd kuanzia jana, ikiwa ni hatua yake ya kuboresha utendaji wa mashirika na taasisi za Umma. Hayo yalielezwa jana jijni Dodoma na Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka wakati wa kuelezea hatua iliyochukuliwa na serikali ya kuunganisha benki hizo. Alisema serikali imechukua hatua hiyo kwa lengo la kuboresha utendaji wa benki inazozimiliki ili kuwa na benki moja ya biashara ambayo ni imara. "Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali zenye lengo la kuboresha utendaji wa mashirika na taasisi za umma ikiwamo kuunganisha taasisi zinazotekeleza majukumu yanayofanana ili kuongza ufanisi na kupunguza gharama za uendeshaji. "Kwa muktadha huu, kuanzia Juni 1 mwaa 2020, Serikali imeamua kuunganisha benki za TPB na TIB Corparate na kwa hatua ya awali benki ya TPB itachukuwa mali na madeni ya Benki ya TIB Corporate." Mbuttuka aliongeza: "Muungano huu unalenga kuleta mageuzi makubwa ya kiutendaji, kimfumo, kimuundo, na kitaswira ili benki hii iweze kuhimili ushindani wa kibiashara kwenye sekta ya fedha." "Wateja wote wa Benki ya TPB na Benki ya TIB Corporate wataendelea kuhudumiwa kwenye matawi yao ya sasa hadi hapo watakapotaarifiwa vinginevyo. "Serikali inawahakikishia wateja wa benki hizi mbili pamoja na umma kuwa huduma za kibenki hazitaathirika kwa vyovyote vile kutokana na mabadiliko haya. Kuhusu wafanyakazi, Mbuttuka alisema hakuna mfanyakazi ambaye atapoteza kazi katika mabadiiko hayo.

CRDB HAS SLASHED SALARY LOANS

CRDB has slashed salary loans interst rate to 14 percent to enable workers to realize their ambitions under a new campaign at a time when market rates are over 17 per cent. The bank's new interest rate is the lowest in the market and came at time when the economy striving to flatten the Covid-19 curve while workers are struggling to cope up with post pandemic realities. CRDB's Director of Retail Banking, Boma Raballa said under the campaign "Jichie Utakavyo" salaried workers have more room for choosing on payment period to whether pay between one to seven years. "The rate slases give workers a broader spectrum of borrowing at lower cost, longer time and freedom to choose what they want, " Mr Raballa said adding while reducing payment burden to beneficiaries. The initiative, according to CRDB, also allowed a beneficiary -from public or private sector -to choose a loan term that is in line with his/ her a need and interest rate. The loan ceiling amount is 100m/- "A customer has the freedom to choose the payment period from one, two, three until seven years, "the director saidd. The interest rate, however, carters for salaried workers in public or private sectors the interest is calculated on reducing rate method. Commenting on the bank improvements to salary loans, Head of Consumer Banking, Stephen Adili, said they are recognising the huge contribution of public and private sector employees to the economy. "We recognise the challenges we have faced during this (coronavirus) period. And we have been at the forefront to simplify these challenges in every aspect. "This 'Jiachie Utakavyo' campaign is part of the appreciation of all employees, but also to help them achieve their goals, "said Mr Adili. CRDB Senior Manager Personal Banking, Ms Farida Hamza used the launching soft ceremony to wooing workers to seize the opportunity to enable easing person financial stress. The loans are available 24 hours after application. "The loan are not only for CRDB customers but for all employees in the counrty. The bank also buyout employee loans in other banks, " Ms Farida said. The loan application, according to CRDB, is simple since applicant needs national recognizable IDs, salary slips for three months and employment contract and employer letters. This is the second time CRDB cut down borrowing interest rate. The first time was in May 2018 when reduced the rate to 16 per cent from 22 per cent to reduce borrowers' payback burden.

CRDB HAS SLASHED SALARY LOANS

CRDB has slashed salary loans interst rate to 14 percent to enable workers to realize their ambitions under a new campaign at a time when market rates are over 17 per cent. The bank's new interest rate is the lowest in the market and came at time when the economy striving to flatten the Covid-19 curve while workers are struggling to cope up with post pandemic realities. CRDB's Director of Retail Banking, Boma Raballa said under the campaign "Jichie Utakavyo" salaried workers have more room for choosing on payment period to whether pay between one to seven years. "The rate slases give workers a broader spectrum of borrowing at lower cost, longer time and freedom to choose what they want, " Mr Raballa said adding while redicing payment burden to beneficiaries. The initiative, according to CRDB, also allowed a beneficiary -from public or private sector -to choose a loan term that is in line with his/ her a need and interst rate. The loan ceiling amount is 100m/- "A customer has the freedom to choose the paymwnt period from one, two, three until seven years, "the director saidd. The interst rate, however, carters for salaried workers in public or private sectors the interest is calculated on reducing rate method. Commenting on the bank improvements to salary loans, Head of Consumer Banking, Stephen Adili, said they are recognising the huge contribution of public and private sector employees to the economy. "We recognise the challenges we have faced during this (coronavirus) period. And we have been at the forefront to simplify these challenges in every aspect. "This 'Jiachie Utakavyo' campaign is part of the appreciation of all employees, but also to help them achieve their goals, "said Mr Adili. CRDB Senior Manager Personal Banking, Ms Farida Hamza used the launching soft ceremony to wooing workers to seize the opportunity to enable easing person finacial stress. The loans are available 24 hours after application. "The loan are not only for CRDB customers but for all employees in the counrty. The bank also buyout employee laons in other banks, " Ms Farida said. The loan application, according to CRDB, is simple since applicant needs national recognizable IDs, salary slips for three months and employment contract and employer letters. This is the second time CRDB cut down borrowing interest rate. The first time was in May 2018 when reduced the rate to 16 per cent from 22 per cent to reduce borrowers' payback burden.

INVESTOR EFFORTS BOOST AGRO PROCESSING SECTOR

The government stated that a total of 109 investors injected their money into the agro-processing industries from 2015/16 to 2019/20 and created 5,204,607 jobs from the previous 3,880,262, the National Assembly was told here. In a written response to a question by Chumbuni Member of Parliament, Ussi Salum Pondeza who wanted to know government’s plan to increase investment into the agro-processing sector, the Ministry of Agriculture said it has put in place various initiatives to ensure there was much investment into the sub-sector.

MAKATIBU WAKUU SADC KUONDOA VIKWAZO VYA BIASHARA

Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC kwa ngazi ya makatibu wakuu uliofanyika kwa njia ya Mtandao (video conference), Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge alisema kuwa mkutano huo umejadili na kutoa mapendekezo ya kuondoa vikwazo vyote vya kibiashara ili kuweza kuendeleza uchumi ndani ya Jumuiya

IKUNGI SPENT 120M/- TO BUY GREEN GRAMS FROM FARMERS

Authorities in Ikungi District, Singida Region have spent over 120m/- to purchase green grams from small scale farmers. Ikungi District Executive Director, Justice Kijazi told ward councilors here that auctions were Conducted through farmers’ cooperative unions. He said farmers will be directly paid by their specific unions under the cooperative department. Kijazi said they have so far bought more than 40 tonnes of the crop. He said a decision to buy the green grams was meant to assist farmers who were previously struggling to access the market.

MARUFUKU KUNUNUA KARAFUU KWA WAKULIMA

Shirika la Taifa la Biashara (ZSTC) limesema ni makosa kwa mujibu wa sheria ya Karafuu No.11 ya mwaka 2011 kwa mtu binafsi ikiwemo wafanyabiashara kununua karafuu kutoka kwa wakulima. Mkurugenzi Mwendeshaji wa ZSTC, Dk Said Seif Mzee amesema hayo baada ya wafanyabiashara kununua karafuu kwa wakulima huku wengine wakipita vijijini na kujifanya ni wakala wa shirika hilo.

ZANZIBAR SEES ECONOMIC OPPORTUNITIES IN EAST AFRICAN REGIONAL BLOCK

Zanzibar remain committed to maintain and strengthen relations in East African Community (EAC) and other regional blocks as it sees more economic opportunities for its development, says the State Minister (State House) Mr. Issa Haji Ussi. Talking about Zanzibar’s position in regional blocks during the 2020/2021 fiscal year, the Minister said, under the umbrella of the united republic of Tanzania, the Isles is happy to continue being part of regional blocks.

ARTICLE:BRELA OPENS TANZANIA THE WORLD THROUGH THE NATIONAL BUSINESS PORTAL

Tanzania economy in getting strong each day that passes by and every now and then more strategies and environments for doing business in Tanzania are improved. Have you aware of the existence of Tanzania National Business Portal? This is a system that has a comprehensive wealth of government information and e-services to assist you in starting, growing or investing business in Tanzania. The National Business Portal comprises of user-centric information and e-services categorized according to;

INTERMEDIATE, CONSUMER GOODS IMPORT INCREASES

Intermediate and consumer goods pushed up goods and services imports to 10,516.0 million US dollars in the year ended March from 10,178.8 million US dollars in the corresponding period 2019. According to the latest Bank of Tanzania (BoT), report, much of the increase in imports of intermediate goods manifested in oil import bill, which accounted for about 20.8 percent of goods import.