What's New What's New

News image

HALMASHAURI YATAKIWA KUWAJIBISHA WATUMISHI KUKOSESHA FEDHA MIRADI

Serikali mkoani Rukwa umeiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi mkoani humo, kuwachukulia hatua kali za kinidhamu watumishi wanaosababisha kupata hati ya mashaka na kukosa fedha kwaajili ya miradi ya kimkakati. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo, wakati akihutubia Baraza la Madiwani la Halmashauri hiyo ambalo limekutana na kujibu hoja 84 kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ambazo zimeongezeka kutoka hoja 32 mwaka 2018/2019 hadi kufikia hoja 84.

Read More ...

UCHUMI

Mkurugenzi wa Benki ya Dunia (WB), David Malpass, amesema uchumi wa dunia unakumbwa na pigo kubwa kutokana na janga la covid-19, ambalo mwaka huu litaweza kuwafanya watu zaidi ya milioni 60 kuingia kwenye kundi la umasikini uliokithiri. Kwa mujibu wa ripoti ya Matarajio ya Uchumi wa Dunia robo tatu ya mwaka 2020, Malpass amebainisha kuwa nchi zinazoendelea zinakabiliwa na tishio lisilotarajiwa la kiafya na kiuchumi, ambalo litaathiri maendeleo kwa miongo kadhaa. Ripoti hiyo pia inasema hatua kali za karantini zilizochukuliwa kukabiliana na janga hilo la covid-19 zimesababisha kudorora kwa uchumi katika nchi mbalimbali.

Read More ...

WAKULIMA BARIADI WAOMBA SERIKALI KUSIMAMIA SOKO LA VITUNGUU

WAKULIMA wa vitunguu wa Kata ya Nyankongolwa katika Halmashauri ya Mji wa Bariadi, mkoani Simiyu, wameiomba serikali kusimamia soko la zao hilo ili wapate faida kutokana na kuzalisha vitunguu kwa wingi na kwa gharama kubwa. Aidha, wameiomba serikali kuweka soko la pamoja (one stop centre) la bidhaa hiyo ili wapate tija na waondokane na walanguzi wanaonunua vitunguu kwa bei ya chini wakati huo huo sehemu zingine wakiuza kwa bei ya juu.

Read More ...

New Business Line Launched

Read More ...

Soaring inflows, dwindling dollar demand stabilise shilling

TANZANIAN shilling has remained stable as pressure eases, thanks to an increase of inflows and slowdown in demand of US dollars, banks said on Tuesday. However, they warned that demand remains pausing pressure on the shilling unless inflows improve in the coming days.

Read More ...

JNIA, KIA win prestigious global certification

TANZANIA’S two international airports have won the best global recognition on ground handling services, making the country the second in Africa to get the certification. The IATA’s Safety Audit of Ground Operations (ISAGO) certification was awarded to Swissport Tanzania based on industry-proven quality audit principles.

Read More ...