News News

News image

PANAFRICAN'S GAS OUTPUT HITS ALL-TIME HIGH

PANAFRICAN Energy Tanzania (PAET) has increased natural gas production ahead of demand to cushion recent raising industrial appetite.

SIMIYU BUSINESS EXHIBITIONS TO ATTRACT OVER 260 ENTREPRENEURS,46 FINANCIAL INSTITUTIONS

THE National Economic Empowerment Council (NEEC) in collaboration with the Simiyu regional administration are looking forward to conduct business exhibitions week that aims at enabling entrepreneurs to access various financial services.

RWANDA LAUNCHES FIRST 'MADE IN AFRICA' SMARTPHONES

RWANDA'S Mara Group launched two smartphones on Monday,desribing them as the first ''Made in Africa'' models and giving a boost to the country's ambitions to become a regional technology hub.

AAR COMMENDS GOVET FOR IMPROVING HEALTH SERVICES,HEALTH INSURANCE

AT least 20 companies have participated in free health screening as part of campaign for eradicating Non-Communicable Diseases (NCDs).

WAKALA YA USAJILI WA BIASHARA NA LESENI (BRELA) WANAWAKARIBISHA KUJA KURASIMISHA BIASHARA YAKO NDANI YA UKUMBI WA ELCT BUKOBA HOTEL

Tumeanza kuwahudumia tayari tupo hapa ukumbi wa ELCT Bukoba kuwahudumia katika masuala ya usajili wa Biashara na Leseni.Karibuni sana

TAARIFA KWA UMMA

BRELA INAPENDA KUWATANGAZIA WAFANYABIASHARA NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA KUANZIA TAREHE 1/10/2019 ITAANZA RASMI KUTOA HUDUMA ZA LESENI ZA BIASHARA KUNDI "A" KWA NJIA YA MTANDAO KUPITIA MFUMO WA NATIONAL BUSINESS PORTAL. TUNAPENDA KUWAJULISHA KUWA UTARATIBU ULIOKUWA UKITUMIKA AWALI KATIKA KUTOA LESENI ZA BIASHARA ZA KUNDI ''A'' UMESITISHWA RASMI KUANZIA LEO TAREHE 1/10/2019, HIVYO BASI ILI KUPATA HUDUMA NA MAELEKEZO YA NAMNA YA KUPATA LESENI YA BIASHARA TAFADHALI INGIA KWENYE TOVUTI YA : https://business.go.tz/ AU FIKA MEZZANINE FLOOR JENGO LA USHIRIKA AU PIGA NAMBA 0714 106160, 0689 611870, 0659 552552, 0714 726910, 0753 665907 AU 0752 107070 KWA MSAADA ZAIDI. KARIBU TUKUHUDUMIE

SIDO DISBURSES 1.9bn/-LOANS IN ARUSHA

mall Industries Development Organisation (SIDO), has disbursed 880 loans worth 1.9bn/- to entrepreneurs in Arusha Regional Manager Nina Nchimbi revealed yesterday that the loans that were disbursed from 2014 to 2019 benefited 528 men and 352 women.

TANZANIA, INDONESIA TRADE SURGES 10PC

Trade volume between Tanzania and Indonesia increased to 334.7 million US dollars during the finacial year 2018 from 303.4 million US dollars recorded the previous year,translating to an increase of ten percent.

TAARIFA KWA UMMA

Kufutwa kwa Makampuni yenye ukomo wa ahadi na yasiyo na Mtaji na yasiyofanya shughuli za kukuza Biashara na Uwekezaji

CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAFANYABIASHARA WA RWANDA

Kaimu Msajili wa Makampuni Bi.Rehema Kitambi na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Leseni Bw. Tawi Kilumile kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) tarehe 10 septemba,2019 wakitoa elimu juu ya kufanya Usajili kwa Njia ya mtandao (ORS) pamoja na jinsi ya kupata Leseni za kufanya Biashara Tanzania kwa wafanyabiashara wa Rwanda waliowekeza nchini Tanzania.

CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAFANYABIASHARA WA RWANDA

Kaimu Msajili wa Makampuni Bi.Rehema Kitambi na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Leseni Bw. Tawi Kilumile kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) tarehe 10 septemba,2019 wakitoa elimu juu ya kufanya Usajili kwa Njia ya mtandao (ORS) pamoja na jinsi ya kupata Leseni za kufanya Biashara Tanzania kwa wafanyabiashara wa Rwanda waliowekeza nchini Tanzania.

MFUMO WA USAJILI WA LESENI MTANDAONI WASHIKA KASI

Mfumo wa Usajili wa Leseni Mtandaoni washika kasi, Team ya Watumishi kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Wizara ya Viwanda na Biashara na Tamisemi wakitoa Elimu Juu ya Utoaji wa Leseni kwa Njia ya Mtandao kwa baadhi ya Watumishi kutoka Halmashauri ya Chalinze na Manispaa ya Bukoba tarehe 9.9.2019 ambazo ni miongoni mwa Halmashauri sita (6) zilizochagulliwa na Serikali kufanyiwa majaribio kabla ya mfumo haujaanza kutoa huduma nchini

ZIARA YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI

Msemaji MkuuwaSerikali Dkt. Hassan Abbasi ameshauri kuwe na mikakati ya kuhakikisha kazi za Wakalawa Usajili wa Biasharana Leseni zinajulikana kwa wadau wa sekta ya Viwanda na Biashara mapema leo septemba 4, 2019 jijini Dar es salaam katika Ofisi za Brela.