CRDB Bank targets bigger pie of the blue economy proceeds in the Spice Islands

28 Jul 2022 Sheila Mfunami
CRDB Bank yesterday opened a branch in Wete, Pemba as it seeks to play a role in supporting Zanzibar’s economic growth aspirations, particularly, through the government’s blue economy model. Zanzibar President Hussein Ali Mwinyi graced the branch opening event, which also involved the distribution of over 272 motorcycles and 94 boats to economic undertakings owned by the youth and women groups in the Isles. In February, this year, Zanzibar government and CRDB Bank signed an agreement that will have the latter disbursing Sh81.8 billion to stimulate economic activities in the Isles. The package encompasses Sh60 billion that will be disbursed in form of interest-free loans to income-generating groups in Zanzibar while the remaining Sh21.8 billion will be allocated for improvement of the necessary infrastructure in the Isles that will enable the income-generating groups to conduct their undertakings in modern facilities. CRDB Bank’s managing director Abdulmajid Nsekela said since February, the lender has already disbursed a total of Sh6.7 billion in interest-free loans to entrepreneurs in Zanzibar whereby Sh2.8 billion has gone to Pemba. “I thank the government for entrusting us with the management of its Sh60 billion fund for loaning to SMEs under the blue economy model. This trust is what has led us to expand our branch network to Wete District in North Pemba,” Mr Nsekela said. ADVERTISEMENT The beneficiaries include 6,178 women and 5,628 men. The Wete Branch will offer both traditional and Islamic banking services. The branch opening also saw the bank handing over Sh273.8 million to Shirikani, Umoja ni Nguvu and Mategemeo cooperative societies in the Isles. In his remarks, Dr Mwinyi said the disbursement of the funds was in line with his campaign pledge of lifting lives of the people of Zanzibar through the blue economy model. “We have promised and now we are implementing. As soon as I was sworn in, I asked banks to open more branches in Unguja and Pemba and CRDB Bank has been in the forefront of implementing my wish,” Dr Mwinyi said as he graced the opening CRDB’s Wete Branch in North Pemba along Mtemani Road at Sunda. more details ...

WADAU WAHIMIZWA KUTOA ELIMU KUHUSU TAARIFA ZA MMILIKI MANUFAA

06 Jun 2022 Sheila Mfunami
Wakala Wa Usajili Wa Biashara na Leseni (BRELA), imetoa wito kwa wadau kutoa elimu kuhusu dhana ya Mmliki Manufa katika kampuni, Ili taarifa hizo zipatikane kwa mujibu wa sheria. Akizungumza katika warsha ya siku mbili kuhusu uhamasishaji wa wadau kutoa taarifa hizo, inayofanyika katika ukumbi wa Chuo Cha Benki Kuu Jijini Mwanza, Kaimu Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Kampuni na Majina ya Biashara, Bw. Meinrad Rweyemamu amesema kuwa taarifa hizo zinapaswa kuwasilishwa kwa mujibu sheria Ili kupata taarifa muhimu na sahihi za mmiliki halali wa kampuni. "Kuna baadhi ya wamiliki wa kampuni wanaonekana katika mfumo Ila katika uhalisia siyo wamiliki halali, hivyo ni vyema taarifa hizi zikawakilishwa kwa Msajili Ili Mmliki Manufaa atambulike, kwani kuna uwezekano mkubwa kwa mmiliki wa kampuni kutotaka kujulikana, hivyo taarifa hizi zitasaidia kumjua Mmiliki Manufaa ni nani katika kampuni," amefafanua Bw. Rweyemamu. Ameongeza kuwa taarifa hizi za Mmiliki Manufaa pia zitawezesha kumfahamu mtoa maamuzi katika kampuni kwa lengo la kupunguza mianya ya utakatishaji fedha na kutambua vyanzo vya fedha vya wamiliki wa kampuni kwa usalama wa Taifa na uchumi kwa Ujumla. “Dhana hii ni nzuri na ni lazima ifahamike kwa wadau na wamiliki wa kampuni, kwani inatoa wigo kwa Serikali kufanya maamuzi sahihi kama kuzuia masuala ya utakatishaji fedha, rushwa, kupanga kodi, pamoja na kuzuia mianya ya ugaidi, Dunia nzima inaelekea huko, nasi hatuna budi kuelekea huko," amefafanua Bw. Rweyemamu. Ameongeza kuwa awali mfumo ulikuwa unapokea taarifa bila kujali kinachofanyika, hivyo suala hili likawa chanzo cha mianya ya rushwa na tishio la kiusalama, ndiyo maana Sheria ya kuzuia utakatishaji fedha ikapitishwa, hivyo kampuni zinatakiwa kuwasilisha taarifa za Wamiliki Manufaa ili ifahamike chanzo cha fedha wanazomiliki. Ameowaomba wadau walioshiriki warsha wakiwemo Mawakili na Wawakilishi wa wamiliki wa kampuni kutoa elimu hii pia kwa wadau wengine Ili dhana hiyo ieleweke kwa wengi. Awali akitoa hutuba ya ufunguzi, Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Bi. Amina Makilagi amewapongeza wadau kujitokeza kwa wingi na kuomba waendelee kutoa ushirikiano kwa BRELA, ili kufanikisha dhana nzima ya urasimishaji biashara nchini. Pia ameongeza kuwa taarifa za Wamiliki Manufaa zinapaswa kuwasilishwa kwa wakati, kwani muda wa uwasilishaji uliongezwa na Serikali hadi Juni 30, 2022, Ili kutoa muda wa kutosha kwa wamiliki wa kampuni kutekeleza takwa hilo la kisheria. Hata hivyo ameitaka BRELA kuendelea kutoa elimu hiyo ili kuwafikia wamiliki wa kampuni wengi zaidi. more details ...

BRELA, FCC, SIDO KUIMARISHA USHIRIKIANO

24 Jun 2022 Sheila Mfunami
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imesaini makubaliano ya ushirikiano na Tume ya ushindani (FCC), wakati huo huo FCC ikisaini na Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO), yenye lengo la kuboresha mazingira uwekezaji nchini. Akizungumza mara baada ya utiaji saini makubaliano ya ushirikiano huo Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA, Bw. Godfrey Nyaisa amesema BRELA ipo tayari kutoa ushirikiano kwa taasisi hiyo ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa mbalimbali pale zinapohitajika. Bw. Nyaisa amesema kuwa ushirikiano wa taasisi hizo za Serikali ambazo zinawezesha biashara utatoa fursa kwa wawekezaji kupata masoko ya uhakika huku bidhaa zao zikiwa zinatambulika na Mamlaka husika. "Ndugu wanahabari tunaomba muufahamishe Umma wa Watanzania na wawekezaji kuwa utiaji saini huu unalenga kufungua milango zaidi ya uwekezaji ikiwa ni pamoja na kuondoa migongano ya hapa na pale ambayo inaweza kuchelewesha michakato ya urasimishaji wa biashara, hivyo tunafanya haya kuhakikisha wawekezaji wanakamilisha michakato ya ufanyaji Biashara kwa wakati," amefafanua Bw. Nyaisa. Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa FCC, Bw. William Erio amesema yanapotokea malalamiko ya mtu kutumia alama ya biashara ya mwingine FCC huomba taarifa kutoka BRELA kwani ndiyo yenye dhamana ya kusajili majina ya biashara, kampuni na alama za biashara. Wakati huo huo Mkurugenzi Mkuu wa SIDO, Profesa Sylvester Mpanduji amesema SIDO kama mlezi wa viwanda vidogo itahakikisha inatoa ushauri na kuhimiza wadau wanaopata mafunzo kurasimisha biashara zao BRELA, ili kukidhi vigezo katika soko la ndani na nje ya nchi. Utiaji saini makubaliano hayo yamefanyika tarehe 23 Juni, 2022 katika ofisi za FCC, Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa maagizo ya Waziri mwenye dhamana ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara, yanayozitaka Taasisi chini ya Wizara hiyo, kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuvutia wawekezaji na kufanya Tanzania kuendelea kuwa na mazingira mazuri ya uwekezaji. more details ...
More News
More Events
 • The international tourist arrivals to Tanzania are forecast to total 1,632,000 by 2025, generating revenues of 5.702tri/- representing an increase of 5.8 per cent per annum.
  Posted by Vishwanathan Subramanian 07 Sep 2016
 • Retail prices for petrol, diesel and kerosene have been reduced by 3.43 per cent, 3.50 per cent and 4.88 per cent respectively, the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA), announced yesterday.
  Posted by Vishwanathan Subramanian 07 Sep 2016
 • The government yesterday announced its decision to construct new structures to accommodate over 600 former tenants at Magomeni Kota in Dar es Salaam who were evicted more than five years ago to allow construction of modern residential buildings.
  Posted by Vishwanathan Subramanian 07 Sep 2016
 • The Swahili International. Tourism Expo (S!TE) preparatory committee has held its first meeting at the Tanzania Tourist Board headquarters in which the roles of sub-committees and stakeholders were established and discussed.
  Posted by Vishwanathan Subramanian 02 Sep 2016
More Blogs
What color is not part of the Tanzanian Flag
a. Red
80%
b. Green
20%
c. Blue
0%
d. Black
0%
Total Votes: 5